Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –
Uwekezaji na Uwezeshaji Dkk. Mary Nagu akizungumza na waandishi wa Habari
wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 65 tangu kuanzishwa Jamhuri ya Watu wa
China jana jijini Dar es Salaam.
: Balozi wa China nchini Tanzania Balozi
Lui Youqing akigonga glasi ya mvinyo wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 65
tangu kuanzishwa Jamhuri ya Watu wa China jana jijini Dar es Salaam.
Picha ya Keki kwa ajili ya hafla ya
maadhimisho ya miaka 65 tokea kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China hafla
hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu(Uwekezaji na Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu
na Balozi wa China nchini Tanzania Balozi Lui Youqing wakikata Keki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 65 tangu
kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China jana jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...