Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah (kushoto) na Ave maria Semakafu wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Haidar Madeweyya wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Pindi Chana wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...