Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na kujiajiri na kupelekea uhitaji wa mafunzo haya kuongezeka. Pembeni yake Afisa Utawala, Peter Ugata.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tatizo kubwa kwa watafutakazi wa TZ zaidi zaidi liko kwenye elimu na taaluma wanazozipata. Mkazo uwe kwenye kuhakikisha wanapata elimu inayowapatia ujuzi unaofaa au unaotafutwa na waajiri. Mambo ya jinsi ya kuandika barua, kusailiwa nk. hizo kwa kiingereza wanaziita "cosmetics".

    Mtu akiwa na ujuzi kutokana na elimu aliyoipata ni rahisi kujiamini, na kuwa na choice tofauti aidha kutafuta kazi au kujishughulisha mwenyewe, hata majadiliano yake na waajiri atajipange vizuri alipwe ujira kiasi gani. Msisitizo wa mafunzo yanayoelezwa na TaESA ni mfano wa kulifunika jipu na plasta, hapo hauliponeshi!

    ReplyDelete
  2. Asante kaka maana ,wanaleta uhuni hawa watu mbona wenyewe hawajiajiri?kama wanajiamini watuonyeshe mfano wao kwanza,wenyewe wameajiriwa wanakazana kutupa mafunzo ya kujiajiri manina zenu

    ReplyDelete
  3. Wanakera sana hawa pimbi pori

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...