Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifafanua jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala.
Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa(katikati) akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Tawi hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala.Kulia ni Mwenyekiti UWT Kata ya Kivukoni Bibi. Rahilu Nyundo na kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Shina la Pamba Bibi. Sophia Mbwille.
Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akipokea risala ya UWT Shina la Pamba kutoka kwa Mjumbe wa Jumuiya hiyo Bibi. Twihuvila Faith Nyimbo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa mgeni rasmi katika mkutano wa jumuiya hiyo.
Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifurahia jambo na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa UWT Shina la Pamba lililoko katika manispa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakimskiliza mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao jana jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija, MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Allow me to state the obvious.
    Tanzania inaendelea kwa kasi sana, na baada ya miaka kidogo tu itakuwa mbele sana kwa maendeleo kulinganisha na nchi nyingine za Africa na nchi za jirani.
    One major contribution to this progress is the obviously increasing role played by the Tanzanian woman

    ReplyDelete
  2. Wanawake wanaojitokeza wapewe fursa sawa za kugombania uongozi na wale waliokuwepo. Hapo ndipo hata wasomi wanaoweza kuleta mawazo mapya ya kuwainua wanawake kwenye umoja huu watapatikana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...