Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu
wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano
huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB).
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi
Profesa Ninatubu Lema wakawanza kushoto pamoja na Mbunge wa
Tunduru kaskazini, Mheshimiwa Ramo Makani wakikagua baadhi ya kazi
zinazofanywa na wahandisi nchini.
Wahandisi zaidi ya 200 wakila kiapo cha Uhandisi mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Kisutu Waliyarwande Lema, huku viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akishuhudia tukio hilo.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akikagua moja ya mabanda
mbalimbali katika maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi zawadi ya kompyuta laptop
kwa mmoja kati ya wanafunzi wakike
waliofanya vizuri katika masomo ya kihandisi nchini.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
katikati akipewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Ujenzi
la Taifa (NCC) Dkt. Leonard Madaraka Chamuriho wakwanza kushoto
kuhusu kazi mbalimbali za Baraza hilo.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na wanafunzi
waliofanya vizuri katika masomo ya Uhandisi nchini. Picha zote kwa Hisani
ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini–Wizara ya Ujenzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...