Ankal akila konozzzz na supermodel wa Tanzania anaefanya kazi zake jijini New York, Marekani, walipokutana jijini humo hivi karibuni. Ankal anamsifia Flaviana kwa kuwa mmoja wa watu maarufu wachache wanaoendesha maisha yao bila maskendo wala kashfa. Hongera sana Flaviana. Kaza buti na endeleza kupeperusha bendera yetu vyema ughaibuni.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hapa sijui ukweli ni upi: 1) Flaviana ni mrefu ama 2) Ankal ni mfupi?

    ReplyDelete
  2. Picha ya pili Flaviana akiwa na maofisa wengine ndio imethibitisha kuwa kumbe Ankal ni andunje.

    ReplyDelete
  3. Inamaana Ankal ni mufupi kiasi hicho?Naona jamaa wengine wameenda hewani almost sawa na Matata.
    Halafu ankal angalia hako ka mkono kako ka kushoto unakokapepeka kasije leta balaa kwa my wife wako.

    ReplyDelete
  4. Ukweli ni kwamba Flav ana viatu virefu wakati Ankal ni flat footed!!!!

    ReplyDelete
  5. Kijamaa unakiona kabisa kishetaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...