Mdau akibeba boxi ughaibuni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. That's UPS employee, IDIOT

    ReplyDelete
  2. Kipato chake si chini ya $2500 kwa mwezi.
    Maisha yanaenda..

    ReplyDelete
  3. Kuna kaharufu cha jazba......#ndukiii

    ReplyDelete
  4. Je hayo mabox yalifikaje ndani ya hicho kitoroli? $15 kwa saa sifikirii hivyo!

    ReplyDelete
  5. Ama kweli kuna watu wana matatizo ya kuelewa au wana jelas na watu wa ughaibuni.Sasa kuna tatizo gani kufanya kazi iliyopigwa picha hapo juu?Huyo mtu pesa anazolipwa ni nyingi mno je kuna ubaya kufanya kazi hiyo? Kwani kazi wewe uliyeweka picha hii unaielewa vipi?

    ReplyDelete
  6. Kweli ni UPS ana-distribute vitu watu wanavyoviagiza. Duh kumbe wanatuma ma-troli na malipo makubwa sana, sisi kwetu inabidi boxi zikae BEGANI maana barabara ndiyo hizo zetu na malipo kwetu uchwara. NAOMBA MNISAIDIE NIENDE HUKO.

    ReplyDelete
  7. UPS eemployee huyo, kazi ya nzuri sana hiyo watu wanaililia , mshahara mzuri na benefits nzuri, life goes on

    ReplyDelete
  8. Sasa mbona mnakuwa wakali..

    ReplyDelete
  9. He is working hard to support his family.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...