Meneja wa POSO Kanda ya Ziwa Bw. Emmanuel Kisamba (kushoto) akitoamaelezo kwa
mwananchi aliyetembelea banda la Kampuni ya GODTEC katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mjini
Tabora ambapo Maonyesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanayofanyika mkoani humo kuelekea Kilele
cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Miaka 15 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl.
Julius Nyerere.
Afisa Mtendaji Mkuu wa PAFRI Bw. Boniphace Alex akitoa maelezo namna ya jiko
lilotengenezwa na Kampuni yake linavyofanya kazi, kwa vijana waliotembelea banda la Kampuni ya
GODTEC katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Maonyesho ya Wiki ya Vijana
Kitaifa yanayofanyika mkoani humo kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu
ya Miaka 15 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere.Katikati ni Afisa Uhusiano wa Bega
kwa Bega Microfinance Bibi. Dorcas David Mlapa na Afisa Mtendaji Mkuu wa PAFRI Bw. Boniphace
Alex.
Baadhi ya wafanyakazi wa GODTEC na Bega kwa Bega Microfince wakitoa huduma katika banda
lao wakati wa Maonyesho katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Maonyesho ya
Wiki ya Vijana Kitaifa yanayofanyika mkoani humo kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na
Kumbukumbu ya Miaka 15 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere.
Picha na Frank Shija, Tabora
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...