Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Mustafa Bapumia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo na maadhimisho hayo.
 Maofisa wa makambi ya saratani ya matiti wa Saratani  wakisubiri kuzungumza na akina mama waliofika  kuchunguzwa matiti yao.
 Ofisa wa kambi ya saratani ya matiti, Emmy Shayo (katikati), akichukua maelezo kutoka kwa Furahini Ngwirizi aliyefika katika zoezi la uchunguzi wa matiti. Kushoto ni Ofisa mwenzake, Ilham Mazyun. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...