Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani.
Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa
Mrithi wa Chifu Mkwawa, Abdul Adam Mkwawa akimkaribisha Kinana kutembelea makumbusho ya Chifu Mkwawa katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2010.
Kinana akivishwa kilemba
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kimila baada ya kukabidhiwa mkuki.
Kinana akiwa amekaa na Chifu Abdul Mkwawa pamoja na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe.
Sura ya picha ya kuchonga ya Chifu Mkwawa inafanana kabisa na sura ya Chifu Abdul Mkwawa!!!!!!
ReplyDeleteHivi huwa naona vibaya au? Ni kwamba fuvu huwa ni kubwa kuliko kichwa halisi? Huwa linaumuka?
ReplyDeleteNi damu yake. Kufanana na baba, babu, babu wa baku ni kawaida
ReplyDelete