Mkuu wa Kitengo cha Utekelezaji cha MIradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Grace Hoka akitoa maelezo kuhusu miradi ya
elimu kwa Maafisa Elimu Wilaya (hawapo
Chuo cha Adem mjini Bagamoyo leo.
Meneja wa Sekta ya Elimu katika Kitengo cha Rais cha Usimamizi wa Miradi ya
Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Jenifa Mhando akitoa maelezo kuhusu BRN na miradi ya elimu
kwa Maafisa Elimu Wilaya (hawapo pichani) katika kikao chao kilichomalizika kwenye Chuo
cha Adem mjini Bagamoyo leo.
Sehemu ya Maafisa Elimu Wilaya wakifuatilia mada kuhusu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika elimu zilizokuwa zikiwasilishwa na watendaji kutoka Ofisi ya Rais-Kitengo cha Usimamizi wa Miradi ya BRN (hawapo pichani).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...