Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakiingia kwa madoido uwanjani. |
Baadhi ya wazazi wenye watoto wao katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifuatilia sherehe za kuaga wahitimu wa kidato cha nne. |
Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakifurahia matukio yaliyokuwa yakiendelea katika sherehe yao ya kuagwa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...