Mnadhimu
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi,
Johansen Kahatano (kushoto) akimkabidhi kombe dereva Francis John
Kinaulanga (kulia) baada ya kuibuka dereva bora wa mwaka 2014 wa
shindano la scania ”Scania Driver of the year competition 2014”
lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Parkers, Kawe jijini Dar es
Salaam.
Mshindi
wa shindano la Scania Scania Driver of the year competition 2014”
Francis John Kinaulanga (katikati) akiwa na mshindi namba mbili
Ramadhani Ahmad Danga (kulia) na Winston Rwegalulila Rwechungura
(kushoto) baada ya kutangazwa washindi kwenye Viwanja vya Tanganyika
Parkers, Kawe jijini Dar es Salaam.
Madereva
wote wa shindano la scania ”Scania Driver of the year competition 2014”
lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Parkers, Kawe jijini Dar es
Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...