Umati mkubwa wa wananchi waliofurika katika uwanja wa Demokrasia kibandamaiti mjini unguja wakiwa katika mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Makamo Mwenyekitiwa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali mohamed Shein[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimeshuhudia umati mkubwa wa watu waliofurika leo kibanda maiti palikuwa hapana pakutia mguu ccm leo walizamiria kufanya mkutano mkubwa kweli ccm chama dume

    ReplyDelete
  2. Bado tupo tupo saaana !

    ReplyDelete
  3. What a waste of resources, our leaders should be using TV, radio and internet to communicate. Bila shaka hao wote walizolewa mitaani kwa nguvu. Frankly speaking, do we really have time to listen to all the crap from political parties. People need food, education, health etc.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...