SAM_0706Baadhi ya Wanasalamu wa kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini Arusha wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa uongozi wa hospitali ya mkoa Mt.meru jana,kulia ni mratibu wa salamu kupitia kipindi cha usiku wa moto Yacob Simba kushoto ni Sista Shubi Mjawizi,anayefatia ni Sista Merry Stalla
SAM_0705 Yacob Simba akiongea na baadhi ya wanasalamu katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru anayefatia ni Godfrey Thomas ambao ni waratibu wa shughuli hiyo kupitia kituo cha Redio 5 katika kipindi usiku wa moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima
SAM_0710Yacob Simba akikabidhi ndoo ya mafuta  kwa uongozi wa hospitali ya Mt.Meru jana baadaa ya wanasalamu kutoka mikoa zaidi 21 kufika hospitalini hapo kuwafariji wagonjwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...