Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa
vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni baadhi ya wahariri hao.
Mkurugenzi
wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada
kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri,
Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari, wakisikiliza mada hiyo, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi.
Wahariri wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa katika semina hiyo.
Picha sawa... Kilichojadiliwa tutakiona wapi.. Maana kuna mapendekezo ya kupunguza mafao toka 50% mpaka 35% je mmeelimishwa kuhusu hilo! Tujuzeni na sisi basi.
ReplyDelete