Wakazi wa Mbeya wakipata Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika Mbeya.
Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo akitoa ufafanuzi Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi mjini Mbeya wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Mwanahamisi Sakuru akitoa Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi wa jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga wakitoa elimu juu ya uwekezaji wa pamoja kwa wakazi wa Mbeya waliotembelea Maonyesho ya ya Kimataifa ya Biashara kwenye Ukumbi wa Mkapa, Soko Matola Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uwekezaji uongezeke baada ya elimu hii ikiwa ni pamoja na kuwa na vyanzo vya fedha kwa njia ya kuwezeshana kuanzisha na kuwekeza katika shughuli mbali mbali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...