Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwinyi Khamis ambae ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani akitizama Mkoba na bidhaa zilizotengenezwa na Wazee wa Zanzibar, Huko Dole Wilaya ya Magharibi.
Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani.
Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoadhimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi.
Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah akimkaribisha Mgeni Rasmin katika maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdallah Mwanyi Khamis akiwahutubia Wazee katika maaadhimisho ya siku ya Wazee Dunuiani (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa jamii, Vijana Wanawake na Watoto,Asha Ali Abdallah na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Ayubu Moh’d Mahmoud.(Picha na Miza Othman Makame Maelezo-Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kweli zanzibar sio Bendera Ni watu makini, hawauziwi mbuzi kwenye gunia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...