Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kama kungekuwa kuko safi na hakuna kasoro wahisani wasingezuia pesa zao wanazotoa kwa ajili ya kuchangia bajeti ya serikali. Walishafanya uchunguzi wao wakabaini ukweli ulipo ndio wakachukua uamuzi huo. Sasa hili changa la macho mnamtia nani?

    Tunajua wazi tangu mwanzo IPTL ilikuwa ni magumashi na njia ya kulia pesa na bado mnaendelea kula pesa zetu kwa kisingizio cha pesa za IPTL. Salamu zetu tnatanguliza ni hizi tutawakomesha kwenye chaguzi za serikali za mitaa na tunawasubiri uchaguzi mkuu mwakani.

    ReplyDelete
  2. Accountability iko wapi nchi hii.Je, kuikosesha serikali kodi ya billion 20 hata kwa uzembe tu haitoshi kuwa kigezo cha kiongozi husika kuwajibika?

    ReplyDelete
  3. Ninaamini kwamba CAG alipitia vielelezo vyote vinavyotolewa na serikali na bado akasema kuna fedha za umma kwa hiyo utetezi wa serikali haukubaliki maana walishindwa kumshawishi CAG. Vielelezo vipya havikubaliki pia maana hakuna tena mtu wa kuhakiki na kututhibitishia. Pili, hata matajiri wakubwa tunaowajua duniani pamoja na hapa Tanzania hakuna aliyewahi kugawa ela hovyo namna ile na kwa watu ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine na fedha hizo au wenye kufanya maamuzi makubwa!!

    ReplyDelete
  4. Cc wavuja jasho tusipolipia umeme mwezi tuu unakatiwa, aa lkn nyinyi wenzetu mnakomba mahela bla hofu wala wasiwasi wala hakuna hatua yeyote. huu kweli ulimwengu wa tupa chuma kumla mwenziwe

    ReplyDelete
  5. Taarifa ya CAG, na ya Hosea ni taarifa za Serikali.Sasa hizi za Kina Muhongo nizanini tena? Ripoti ya PAC ni product ya ripoti za CAG & anti corruption. Wahusika hawa kuuwa na sababu ya kuleta the so called " ripoti ya utetezi ya serikali" again

    ReplyDelete
  6. Ni wakati wa Serikali kuchukua maamuzi magumu kuwawajibisha Wahusika kwani wamesha loose credibility katika macho ya watanzania na ilimwengu kwa ujumla..

    ReplyDelete
  7. MHM!! NAPITA TU NJIA,

    ReplyDelete
  8. Kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, mmechemsha kabisa, CCM itawabwaga, acheni mchezo nyie,tuko imara, wezi wachache hao, hawawezi kuzuia wasafi wengi kushinda uchaguzi. usiandikie mate, subiri uje uone matokeo. sie tunaangalia mtu hatuangalii chama. kama ukawa wako wasafi, poa, lakini ukawa ukiwapa maendeleo hakuna kabisa, maana wana rungu. bora tuwape ccm wenye rungu ili watuletee maendeleo.

    ReplyDelete
  9. Fedha wanagawiwa wahaya tu zaidi? kwingineko hakuhitaji maendeleo ni Bukoba tu. Kuna siri ndani ya mtungi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...