Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.
  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.
  Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere. Kushoto ni Andrey Coutinho

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na mchezaji mwenzake Andrey Coutinho (katikati).

Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque (kulia) akiwa na wadau wa Klabu ya Yanga.
Maximo akiwasili. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Utamaduni huu mpya wa makocha wa kigeni kuja na ndugu zao hauwezi saidi a soka letu, tutegemee "majaja"wengi tu kufurika,kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    ReplyDelete
  2. Maxdeal hiyo!Poleni wanayanga.

    ReplyDelete
  3. Escrow nyingine ndani ya Yanga. Hivi kweli toka Bk hadi Mtwara, Kigoma hadi Dar, Tanga hadi Songea, tumekos wachezaji hadi tuletewe hakina Jaja. Kwizera, Kiongera,Jama Mba nk? Ndo matokeo ya kufikiri kila kitu lazima kitoke nje, tumeua viwanda vyote tunavaa mitumba hadi nguo za ndani, rasilimali zinaporwa kila siku tuko angani kuomba misaada, sasa mpaka wachezaji hata ambao hatujawsi kuwaona wakivheza chandimu, kocha lazima atoke nje hats kams Boniface, Mwambusi, Kibadeni anaweza? Hivi kocha gani wa nje an mafanikio zaidi ya Benders, Kibadeni, hakuna. Tubadirike la tutaendelea kuibiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...