Mdau Mrs Leticia Mutaki (wa pili kushoto) akiwa na wanafunzi wenzake wanawake kwenye ufunguzi wa kula nondozzzz ya sheria ya Masters in maritime law nchini Malta.
Mdau Mrs Leticia Mutaki (wa pili kushoto) akijidai na bendera ya Tanzania kwenye ufunguzi wa mafunzo ya nondozzz ya sheria ya Masters in Maritime law nchini Malta.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...