Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha mikono watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market.  (Picha na John Dande)
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingungutijijini Dar es Salaam katikahaflayachakula cha mchanailiyofanyikajuzikatikahoteliya Cape Town Fish Market. 
Miss Ilala 2014, Jihan Dimack akila chakula pamoja na watoto hao.
Miss 2014 Jihan Dimack akitoa zawadi kwa watoto hao.

Miss Ilala mwaka 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana,iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market.
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli ya Cape Town Fish Market.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tunashukuru kwa wema uliouonyesha. Lakini mbona picha zote zinaonekana ameweka pozi? Don't do it for the media but more because you care, unaponawisha mikoni muangalie mtoto unayemnawisha, etc.

    ReplyDelete
  2. mdau hapo juu umenena...unatakiwa ukipiga picha umwangalie unaemkabidhi kitu, au , kuzungumza nae au kama hivyo anavyonawisha watoto halafu hawaangalii au hivyo anavyodai anakula nao halafu kageukia camera...hizi cheap publicity zinatucost wakati mwingine. ungepiga hata picha ukimlisha mmoja wa watoto hao huku ukimwangalia inge make sense.

    ReplyDelete
  3. love handles...chips vumbi will do that.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...