Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakisikiliza hotuba , Kushoto ni
mjumbe toka Afrika kusini katikati ni Mkurugenzi wa ICT TPA Ndg. Phares
Magesa, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu TPA Eng.Madeni Kipande
Ndg. Magesa akifuatilia mkutano huo
Gavana wa County ya Kwale akitoa hotuba kwenye ufunguzi na kumkaribisha Mgeni rasmi kufungua mkutano huo
Waziri wa Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Adan Mohamed akitoa hotuba rasmi ya ufunguzi wa mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA ,
Mwenyekiti wa bodi TPA, Katibu Mkuu wa PMEASA , na Mkurugenzi Mkuu TPA
wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...