Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini. |
Msimamizi mkuu wa (MUWSA)
Kituo cha Himo Brucevictor Sangawe akitoa ufafanuzi kwa wananchi
mbele ya mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustine Mrema juu ya upatikanaji
wa maji kwa wakazi wa maeneo ya ukanda wa juu katika mji wa
Himo. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA |
Well attended meeting
ReplyDelete