Bi Harusi Mtarajiwa Jacqueline Dillip Sing (katika bluu tupu) akiwa na dada zake kwenye mnuso wa pre-wedding party usiku wa kuamkia leo ukumbi wa VIP Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam. Chini Ankal na wadau waalikwa wenzie katika mnuso huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jacqueline umependeza sana wajina wangu. Mungu akutangulie ufikie jumamosi salama salmin. am happy for you.
    jmattowo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...