Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa mtwara na viunga vyake wakionekana kujitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa masafa ya 92.9 ya kituo cha radio magic Fm inayomilikiw na Africa media group limited ya jijini dar es salaam.Uzinduzi huo ambao ulikwenda sambamba na sherehe za kumbukumbu za miaka 14 ya radio magic Fm ulupambwa na nyota wa muziki wa mwambao mzee yusuphu, pamoja na wasanii nyota wa Bongo Fleva Lady Jaydee  na Ommy Dimpoz pamoja na Mfalme wa taarabu nchini Mzee Yusuf ambao waliwapagawisha mashabiki waliojitokeza kwa wingi sana.Aidha sherehe hizo ambazo zimefanyika kwenye uwanja wa mashujaa mwishoni mwa wiki zilisababisha barabara kuu ingiayo na kutoka mkoani mtwara kufungwa kwa muda huku watu wengi wakipongeza radio hiyo kwa kupelekea huduma zake mkoani humo.Sikiliza Magic FM live Online hapa. http://tunein.com/radio/magic-fm-929-s150101
 Lady Jaydee akidhihirisha kuwa yeye ndiye malkia katika uzinduzi huo
 Mzee Yusuf naye akiwarusha roho wana Mtwara kwenye uzinduzi huo

 Ommy Dimpoz na madansa wake wakiwajibika Mtwara



Nyomi ya wana Mtwara kwenye uzinduzi wa Magic FM 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...