Jumuiya ya Urafiki wa Wafini na Watanzania inayofuraha kukualika kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania. Mgeni rasmi anatazamiwa kuwa balozi wa Tanzania mh Dora Mmari Msechu anaye hudumia nchi za Baltic na Nordic.

Hii itakuwa ziara yake ya kwanza nchini Finland. Karibu kushiriki nasi kwenye mijadala,chakula cha kitanzania,buradani.

Wageni mnaotoka nje ya Finland unaweza wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu malazi kabla ya November 30, 2014. 

Maelezo zaidi ingia kwenye ukarasa wao wa facebook kwa kubofya hapo chini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaswali kidogo, hivi huu ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika????

    ReplyDelete
  2. Hako kaswali hakanaga jibu.....kinaingia ktk fungu la maksi ya bure....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...