.jpg)
Shirika la Afya ulimwenguni kanda ya Afrika (WHO - AFRO) katika mkutano wake wa 64 unaendelea nchini Benin kuanzia tarehe 3-7/11/14. Leo tarehe 5/11/14 mkutano huu umemchagua Dkt Matshindiso Rebecca Moeti kutoka Botswana kuwa Mkurugenzi Mpya wa Kanda ya Afrika baada ya kuwashinda wapinzani wake wanne kutoka Cote D'Voire,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Benin na Mali.Dr.Moeti ataongoza kwa kipindi cha Miaka 5 kuanzia mwezi wa Februari, 2015 Wakati ambapo mkurugenzi wa sasa Dr.Louis Sambo kutoka Angola atakapomaliza muda wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...