Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mke
wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka
shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam
Mzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani.
Phili Karashani na mkewe akiweka shada la maua katika kaburi mtoto wao Baraka Karashani.
Mchungaji akiweka shada la maua.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Amir Mhando akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Baraka Karashani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...