Dj KT kutoka Tanzania akiwa anaangusha bonge la moja Burudani .....
Hakuna kulala full ku party ...
DJ Pinye Mkali kutoka nchini Kenya .. akiangusha Burudani ... Hii ilikuwa hatare sana Mashabiki walifurahia Burudani hii ya nguvu.
Twende Dj Pinye....
Dj Crusia Toni kutoka Nchini Kenya akiendelea na Burudani ya Nguvu ... Party inaendela.... Picha zaidi BOFYA HAPA
uncle hao si ndio wamiliki wa Tegeta eko A/c
ReplyDelete