Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee(kulia).
dah Siku zinaenda!
ReplyDeletesi ni mwaka jana maskini aliuliwa vibaya kweli huyu diwani
Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo!
poleni sana ndugu na marafiki
RIP marehemu