Naam Underline hao! ( a.k.a Sunderland Sports Club.) Kisukari  ,Durban, Kimimbi, Emmanuel 'Full-up'Arthur Mambeta,Gilbert Mahinya, Ali Kajo, Kibunzi VC10/auYussuf Salum Maleta. Waliochuchumaa Hatibu ,Kilomoni,Choteka,Mbaraka Salum Magembe, Liston na Haji Lesso.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante kwa Kumbukumbu Uncle. Mzee wangu ni mmojawapo hapo. Mrbaraka Salum Magembe (Mwenyezi Mungu airehemu Roho yake. Amin)
    Maua, New York, USA





    ReplyDelete
  2. Ankal Asante sana sana umetukumbusha tulipokuwa wadogo ilipokuwa klabu ni jirani yetu pale Mchikichi street/Kongo
    street,K'koo, kwenye nyumba ya Mzee Bushiri.
    Wadau FFU

    ReplyDelete
  3. Gilbert Mahinya alichezea Simba?

    ReplyDelete
  4. TWILA KAMBANGWADecember 13, 2014

    Huyu mzee kilomoni c baba yake Kazard Kilomoni, nice photo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...