Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hii tulikuwa tunaipangia foleni, chapati zake tamu kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Kumbe tullishafika mbali hivyo! Kwa nini tumerudi nyuma?

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza umenena....kwa chapati hiyo ilikuwa mwake sana...toka pande zile za kanda ya ziwa...VOIL...

    ReplyDelete
  4. Kwa chapati haikuwa na mshindani,

    ReplyDelete
  5. haya ndio yalikuwa mafuta ya ukweli,ni kweli yalikuwa mazuri katika utengenezaji wa chapati,asante sana kwa kutukumbusha mafuta ya ukweli

    ReplyDelete
  6. Ni kweli tulkuwa mbali sana kiuchumi na sasa tumerudi nyuma kwasababu kila kukikucha ni ufisadi na ubadhirifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...