Na Bashir Yakub

Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale biashara hiyo utakapoifanya kampuni. Ni kutokana na umuhimu ikanilazimu niwajuze hasa vijana kuhusu kampuni tukijielekeza zaidi katika aina na uundwaji wake kutokana na Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...