![]() |
Naibu Waziri wa maji Mhe. Amos Makalla akiangalia ramani ya mradi wa maji Boro - Masoka |
![]() |
Naibu Waziri wa maji Mhe. Amos makala akikagua chanzo cha maji cha Mananga cha mto Ghona, Himo |
![]() |
Naibu Waziri wa maji Me. Amos Makalla akisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa mji mdogo wa Himo katika moja ya kituo cha kuchotea maji |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...