1Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili  na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo litashirikisha waimbaji wengi kutoka hapa nchini na nchi jirani.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE -MBEYA) 2Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili  na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama wa pili kutoka kushoto, mwisho kushoto ni MC Mwakipesile wa jijini Mbeya 3Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama  wakimsikiliza MC Mwakipesile mara baada ya kuwasili  na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya. 4Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama  wakifurahia jambo kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na MC Mwakipesile. 5MC. Mwakipesile kulia na John Melele mmoja wa waratibu wa Tamasha hilo wakifurahia jambo kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...