![]() |
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Endamaghan wilayani Karatu leo akiwa amezungukwa na wakaazi wa kijiji hicho ambao wameishukuru serikali kwa mradi huo ambao wameuita ni mkombozi kwani utawaondolea kabisa shida ya kutembea umbali mrefu kutafuta maji |
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizawadiwa mgolole baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Endamaghan wilayani Karatu leo akiwa amezungukwa na wakaazi wa kijiji hicho ambao wameishukuru serikali kwa mradi huo ambao wameuita ni mkombozi kwani utawaondolea kabisa shida ya kutembea umbali mrefu kutafuta maji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...