Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka
(Katikati) akisisitiza jinsi menejimenti ya maafa inavyotekelezwa kwa Utekelezaji wa
Mradi wa Kuimarisha utoaji wa Taarifa za Tahadhari kuhusu Tabia nchi na Mifumo ya
Tahadhari nchini wakati wa mkutano wa wadau wa mradi huo leo Jijini Dar es Salaam,
(kushoto) Mwakilishi wa UNDP, Tanzania wa mradi huo, Bw. Abbas Katogo, (kulia)
Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Fanuel Kalugendo.
Home
Unlabelled
OFISI YA WAZIRI MKUU KUIMARISHA MIFUMO YA UTOAJI TAARIFA ZA TAHADHARI KUHUSU TABIA NCHI NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...