Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band a.k.a FFU-Ughaibuni a.k.a "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao yake nchini Ujerumani,
inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale
mlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.
HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 !
msikose burudani kamili bofya
moja ya show za Ngoma Africa band nchini Ujerumani.
wakuu wa kazi ngoma afrika band aka
ReplyDeleteze fanyaa fujo uone chini ya kamanda mkuu ras makunja,asanteni sana nanyi mbarikiwe
hii!!!ngoma afrika wakuu wa kukaanga mbuyu mwaka 2015 mmetuandaliaa nini?
ReplyDeletenyinyi ni tegemeo la muziki wa bongo dansi
Maafande wa ffu nina kazi nataka kuwapa huko ughaibuni kunasehemu ina fujo sana sasa nataka mkamalize ghasia
ReplyDeleteah ah kikosi maalumu tunaachokitegemea kukabiliana na fujo zote ughaibuni,ngoma ya afrika aka viumbe mazimwi wa ajaabu anunnaki
ReplyDeletewatoto wa mbwa watukutu
ReplyDelete