Home
Unlabelled
shangingi lapigwa kiberiti baada ya kugonga na kuuwa madereva watatu wa bodaboda jijini Dar es salaam leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madereva wa bodaboda nao wamekuwa 'rough' sana barabarani... Haya lazima yatokee.. Hapo kama gari ni bovu mmemsaidia mliki kupata Bima kiurahisi sana... VANDALISM is not the solution....
ReplyDeleteUmeisoma sheria ya bima ww? Kama Bado nenda kwa wakala wa bima atakuelewesha. Kwa maelezo ya michuzi huyu dereva ameua watu 3 Bila shaka alitaka kutoroka. Wananchi wakamtight. Ukiiangalia ni kama commotion HIV ambayo bima hawatoi kinga
ReplyDeleteKuchoma gari si suluhu kama dereva kagonga aitiwe polisi afikishwe mahakamani, hii nchi ina utawala wa sheria, uvunjifu wa amani unaweza kutokea watu wanapochukua sheria mkononi badala ya kutumia sheria na taratibu husika. Trafiki ifanyie uchunguzi swala hili, kama sehemu hiyo inahitaji matuta au alama ya barabarani kupunguza spidi ya magari viwekwe ili tukio hili lisirudiwe.
ReplyDelete