Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) amefariki dunia muda mchache uliopita nyumbani kwake mtaa wa Kariakoo jijini Dar es salaam. Shughuli za maziko zinafanyika hapo hapo nyumbani kwake.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.
  Maziko yatafanyika kesho Jumatatu saa nne asubuhi. Atasaliwa Msikiti wa Makonde na atazikwa katika Viunga vya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed, Dar es salaam.

 Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit 
 Imetolewa na:
Abdulrahman S. I.  Mbamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MwanaKariakooDecember 28, 2014

    Inna Lillah Wainna Illahi Rajioun

    ReplyDelete
  2. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Mwenyeez Mungu akughufirie kwa yote na akunusuru adhabuze zote, akupumzishe palipo pema peponi na kesho Yaumul Hisabu ukawe ni miongoni mwa waja wake wema watakaodumu katika yake Firdaus - AMEEN.

    ReplyDelete
  3. Inna Llillah wa Inna Illah Rajeoon. Maalim wangu Baki Allah . Allah akupe Kauli THABIT Kaburi lako liwe kasri katika viwanja vya Rawdha na si shimo katika Tumbo la Ardhi RIP. Amin Amin Amin.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...