Mdau Amini Mture Robert Kisanga na mai waifu wake Maria Deborah Kimalando wakiingia nyumbani Oysterbay jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa mnuso wa nguvu baada ya kumeremeta katika kanisa la Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM chapel)
Mdau Amini Mture Robert Kisanga na mai waifu wake Maria Deborah Kimalando wakikaribishwa kimila kwa kunywa Mbege mlangoni wakati wakingia nyumbani Oyster bay jijini Dar es salaam tayari kwa mnuso wa nguvu
Maharusi wakikata keki
.jpg)
Ni wakati wa Ndafu ambapo maharusi na mpambe wao na Jaji Robert Kisanga na Mama Kisanga wanajiandaa kulisha watoto wao
.jpg)
Jaji Robert Kisanga na Mama Kisanga wakilishwa ndafu na mtoto wao Amini
.jpg)
Ni wakati wa Ndafu ambapo maharusi na mpambe wao na Jaji Robert Kisanga na Mama Kisanga wanajiandaa kulisha watoto wao
.jpg)
Jaji Robert Kisanga na Mama Kisanga wakilishwa ndafu na mtoto wao Amini
Nasaha za wazazi wa bwana harusi: Jaji Robert Kisanga na Mama Kisanga wakimuasa mtoto wao
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...