Jacquline
Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa
maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la
Mboto, Dar es Salaam. Akiandaa chakula na wenzake Ramadhan Seleman kushoto na Hans Shija
Akiwahudumia na wateja wa Facebook
Akiwahudumia na wateja wa Facebook
Dorren Asey aliyewezeshwa na TBL kutengeneza mikate, keki na maandazi kupitia kampuni yake ya Dee Bakery,Doreen akiandaa mikate.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...