Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa
kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika
uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana
akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa
kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika
uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa
kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika
uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
Baadhi
ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha
sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.
PICHA NA MICHUZI JR-PEMBA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...