Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank Balozi, Salome Sijaona(Katikati) akikata utepe, kuashilia uzinduzi Rasmi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha mfurulizo hadi kufikia sita na kukosa Mahali pa kuishi, Covenant Bank imemkabidhi nyumba hiyo ambayo ataimiliki yeye mwenyewe pamoja na thamani za ndani na Bima ya Matibabu kwa Mwaka mzima. Anaeshuhudia ni mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Sabetha Mwambenja (wa kwanza kushoto) na Salome Mhando (wa kwanza kulia).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank Balozi, Salome Sijaona (kushoto), Pamoja na Mkurugenzi wa benki Hiyo, Sabetha Mwambenja, wakimkabidhi hati ya kiwanja na Umiliki wa nyumba Salome Mhando, Mama alietelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto mapacha mfurulizo, hadi kufikia sita, Benki hiyo imemkabidhi nyumba hiyo pamoja na Bima ya Matibabu kwa mwaka mzima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Such a wonderful and positive piece of news. And with no politics. If you look on other pictures, you can see that mom laughing. What more the kids wants? Kudos to all who make this happen. Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. Mungu awabariki sana kwa upendo wenu. Haki anayemtendea mmoja wa wadogo hawa ananitendea mimi. Maneno ya Yesu Mwenyewe

    ReplyDelete
  3. hizi ndo huduma zinazotakiwa kufanywa na taasisi zetu na si kuona fedha zilizopatikana kutoka kwenye jamii zikitumiwa kwenye matafrija ambayo hayaleti tija yeyote kwa jamii.
    Hongereni sana Convernant Bank.
    God Bless you.

    ReplyDelete
  4. Ni kuwapongeza hao wasamaria wema waliomjali huyu mama..mwanaume pengine akiwezeshwa anaweza kurudi kuangalia wanawe inawezekana shida ndio zilizomtoa mbio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...