Mbwa hawa wanauzwa,wapo Mbweni Teta,wapo katika uangalizi mzuri,kwa anaehitaji mawasiliano haya 0754 452351,0715 452351,0786 452351

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bora huyu amefanya anayeuza Mifugo kujipatia chochote kuliko wale vijana PANYA ROAD!

    ReplyDelete
  2. Mbwa aina gani, i.e. breed gani, au ni local breed aka "shenzi type"?

    ReplyDelete
  3. we unaeuliza breed mbwa mliofuga vijijini kabla hujaingia mjini ulikua unafahamu 'breed' zao?? Acha kutuletea 'uzungu koko' wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...