Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina (shati draft) akimkabidhi
Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi msaada wa mahitaji mbali mbali ya chakula kwaaajili ya watoto wa kituo hicho.katikati ni Afisa Masoko Msaidizi wa Mfuko wa GEPF,Bw. Adam Hamza.
Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi akipokea moja ya ‘pampers’ maalum kwaajili ya
watoto wachanga kutoka kwa Afisa Mafao Mwandamizi wa Mfuko wa GEPF,Bi. Salma Mtaullah.
Baadhi ya watoto yatima na wasio na makazi maalum watunzwao na kituo
cha Chakuwama wakifurahia ujio wa maafisa wa GEPF.
Mwakilishi wa watoto wa kituo cha Chakuwama akitoa neno la shukurani
kwa niaba ya watoto wenzake na kuwashukuru GEPF kwa kuwakumbuka
katika kipindi muhimu cha mwaka mpya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...