Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu.
 Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.
 Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa akipongezwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya ibada ya kumsimika kuongoza dayosisi hiyo.
 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisaliana na waumini waliohudhuria ibada maalumu.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(kulia)akiwa na Mbunge wa Arumeru Magharibi wakisalimiana na wananchi na waumini waliohudhuria ibada maalumu.Picha na Filbert Rweyemamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Rafiki yangu Lazaro inabidi utafute designer awe anakuvalisha. If you want to look presidential material. There is a big difference if you look at Mr. Sumaye.

    ReplyDelete
  2. Wote wanaogombea Urais akiwepo Waziri Mkuu wangeacha nyadhifa zao Serikalini .

    Huo ndio utawala bora. You cannot eat your cake and have it too

    ReplyDelete
  3. Hahahaa..if he looks at the one you mentioned, does he look like one? Kati ya hao wawili nani ana designer na nani kashona kwa fundi mbwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...