Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi sisi Tanzania hatuna hata kiwanda cha nguo na vitenge vizuri. Mbona kama huyu jamaa anatuponda kuwa vitenge vyao vizuri sio kama unavyonunua Kariakoo na ukiweka kweye maji tu vinachuja. Jamani hata kiwanda cha nguo malidadi hatuna Tanzania? basi tupo maskini sana kama hata hilo tu limetushinda. Mawaziri wa viwanda wanafanya nini sasa. Angalia kule mbeya zamani kulikuwa na Hisoap, ZZK, na kiwanda cha kusindika nyama pale Mbalizi, kiwanda cha Mbeyatex pale songwe, vyote vimekufa. Kwa nini viwanda hivyo visitafutiwe wawekezaji vikafufuliwa Tena. Inashangaza ndimo vijana wangejipatia ajira zao na kupunguza vijana kulandalanda mitaani.

    ReplyDelete
  2. He has got good products however I disagree with what he says from 9:38 - 10:24 in the above clip. It is too negative. Indeed people have got a choice too. If you want to wear a Kitenge pair of trousers that's fine. But it is not common in TZ and that's the way it is. It not that people are too conservative.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...