Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar,ambapo huduma kama zile za sangria kwa kila mrembo na shot ya Baileys pamoja ua rose hutolewa kwa warembo hao ikiwa ni kuonyesha kuwa bila warembo hakuna kinachoendelea.Katika usiku huo magoma ya nguvu huporomoshwa na maDJ wakaji wa Samaki Samaki ambao ni Dj Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.
Dj Vasley akizungusha ngoma siku ya warembo.
Mmoja wa wahudumu wa katika kiota cha Samaki Samaki akipeleka huduma kwa Mteja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...